Breaking News

Your Ad Spot

Apr 4, 2014

MGOMBEA WA AFP CHALINZE AJERUHIWA KWA MAPANGA GESTI

Mgombea Ubunge kwa tiketi ya chama cha AFP, katika Jimbo la Chalinze, Wilaya ya Bagamoyo mkoani Pwani, Ramadhani Mgaya (pichani), amejeruhiwa kwa mapanga na watu wasio julikana.


Mgaya amesema amevamiwa na kujeruhiwa na mtu ambaye hamfahamu majira ya saa sita za usku akiwa katika nyumba ya kufikia wageni ya Goodtime Chalinze.

"Nimevamiwa na kujeruhiwa na mtu ambaye simfahamu ahsante uongozi wa chadema kwa kunisaidia,"alisema Mgaya.

Mgaya amesema ameumia mikononi wakati nikipangua nakujitetea mvamizi alikuwa na panga.

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages