Breaking News

Your Ad Spot

Apr 24, 2014

NAPE AKUTANA NA WANAFUNZI WA CHUO CHA WHITEWORTH CHA MAREKANI

 Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akiwaonyesha wanafunzi kutoka chuo cha Whitworth nchini Marekani, bango la  wajumbe wa Kamati Kuu  ya CCM, alipokutana na na kuwa na mazungumzo na wanafunzi hao, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam..
 Wanafunzi wa Chuo cha Whitworth wakisoma bango hilo kushoto ni Mwalim Grace Valentine wa Chuo cha Kumbukumbu cha Mwalimu Nyerere.
Profesa John C.Yoder  (kulia) akiandika mambo muhimu ya Chama Cha Mapinduzi pamoja na wanafunzi wake wakati wa kikao na Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye mambo mengine mengi yanayohusu siasa za Chama Cha Mapinduzi.

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages