Rais Dk. Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na mamia ya Watanzania waishio Uingereza alipokutana nao usiku wa Machi 30, 2014 katika ukumbi wa Sattavis Patidar Centre, Wembley, London, Rais yupo katika ziara ya kiserikali ya siku tatu kwa mwaliko wa Waziri Mkuu wa Uingereza, David Cameron
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269