Breaking News

Your Ad Spot

Apr 23, 2014

UJUMBE KUTOKA NCHI WANACHAMA WA SADC UNAOSHUGHULIKA NA MAFUNZO YA UANGALIZI WA AMANI KIMATAIFA WATEMBELEA MAKAO MAKUU YA JESHI LA MAGEREZA LEO, JIJINI DAR ES SALAAM

image
image_1
image_2 image_3 photo
Baadhi ya Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Magereza wakifuatilia mazungumzo rasmi yaliyofanyika Ofsini kwa Kamishna Jenerali wa Magereza kufuatia Ujumbe toka Nchi Wanachama wa SADC( wa kwanza kulia) ni Kamishna Msaidizi wa Magereza, Charles Novat(kushoto) ni Mrakibu Mwandamizi wa Magereza, Ahmad Mwidadi (katikati) ni Mrakibu Msaidizi wa Magereza, Hamis Lisu ambaye pia ni Afisa Mtendaji Mkuu katika Kitengo cha  Mahusiano ya Kimataifa Ndani ya Jeshi la Magereza (Picha zote na Lucas Mboje wa Jeshi la Magereza).

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages