Breaking News

Your Ad Spot

May 30, 2014

BENKI YA EXIM KATIKA MAONYESHO YA KIMATAIFA YA BIASHARA TANGA

 Waziri wa Viwanda na Biashara, Dk. Abdallah Kigoda (kulia) akisalimiana na Meneja wa Tawi la Benki ya Exim Tanga Bw. Deogratius Makwaia (wa kwanza kushoto) alipotembelea banda la benki hiyo wakati wa maonyesho ya biashara ya Kimataifa yaliyofanyika mkoani Tanga hivi karibuni katika viwanja vya Tongamano. Wapili kushoto ni Afisa Mauzo wa Benki ya Exim Martin Temu. 
 Meneja wa Tawi la Benki ya Exim Tanga Bw. Deogratius Makwaia (wa kwanza kushoto) akimpa maelezo juu ya huduma za benki Waziri wa Viwanda na Biashara, Dk. Abdallah Kigoda (kulia) huku alisalimiana na afisa mauzo wa benki hiyo Martin Temu (wapili kushoto) alipotembelea banda la benki hiyo wakati wa maonyesho ya biashara ya Kimataifa yaliyofanyika mkoani Tanga hivi karibuni katika viwanja vya Tongamano.
 Meneja wa Tawi la Benki ya Exim Tanga Bw. Deogratius Makwaia (wa pili kushoto) akimpa maelezo juu ya huduma za benki Waziri wa Viwanda na Biashara, Dk. Abdallah Kigoda (kulia) alipotembelea banda la benki hiyo wakati wa maonyesho ya biashara ya Kimataifa yaliyofanyika mkoani Tanga hivi karibuni katika viwanja vya Tongamano. Wa kwanza kushoto ni Afisa Masoko wa Benki ya Exim Fatma Kilinda na wa tatu kushoto ni afisa mauzo wa benki hiyo Martin Temu

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages