Breaking News

Your Ad Spot

May 1, 2014

UHURU MEDIA GROUP WASHIRIKI MEI MOSI KIKAMILIFU


Wafanyakazi wa Uhuru Media wakipita mbele ya Mgeni rasmi
Wafanyakazi wa UPL wakiwa kwenye maandamano ya Mei Mosi Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam
Wafanyakazi wa UPL wakiwa katika maandandamo ya Mei Mosi

Waalimu wa wilaya ya Temeke hawakuwa nyuma

Wafanyakazi wa benki kuu wakishiriki maandamano hayo.
Baadhi ya wafanyakazi wa PPF wakipita katika mandamano
Rais Jakaya Kikwete akisalimia na  Katibu mkuu wa  Chama cha Mapinduzi (CCM) Abdulrahamani Kinana mara baada ya kupanda jukwaa kuu wakati wa madhimisho ya sikukuu ya wafanyakazi duniani katika uwanja wa Uhuru jijini, Dar es Salaam

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages