 |
Stori: Richard Bukos MSANII
wa filamu za Kibongo, Aunt Ezekiel amesema hivi karibuni aligongana uso
kwa uso na Ivon Bigilwa ambaye anadaiwa kumchana kwa chupa mkononi na
kesi hiyo inaendelea katika Mahakama ya Kisutu jijini Dar es Salaam. |
Msanii wa filamu za Kibongo, Aunt Ezekiel akliwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar.
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269