Breaking News

Your Ad Spot

May 25, 2014

HATIMAYE DIVA AMKINGIA KIFUA MSICHANA ALIEFUKUZWA CHUO KWA KUJIUZA MTANDAONI, (VIDEO)

Diva wa clouds fm
Baada ya yule mwanafunzi wa chuo kujirekodi akisema shule imemshinda bora tu aolewe bure na mwanaume lakini awe na pesa kupigwa chini CHUO (inasemekana lakini).....Mwanadada Diva the Bawse, mtangazaji wa CLOUDS FM ameibuka na kushangazwa na kitendo cha mwanafunzi huyo kufukuzwa chuo....
Kupitia ukurasa wake wa INSTAGRAM, DIVA aliweka picha na video clip hiyo na kuandika hivi; "khee?! Kwani mtu akiwa Malaya anajiuza kuna sheria ya kumfukuza chuo?!"
Hii hapa Ndio Post Yenyewe


Video Yenyewe ya Mdada Hii Hapa::

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages