Breaking News

Your Ad Spot

May 8, 2014

KINANA ATINGA IGUNGA JIONI HII KUANZA ZIARA YA SIKU KUMI MKOANI TABORA

 Kinana akivishwa skafu na na Kijana wa CCM  Seif  Anthony wakati wa mapokezi yake yaliyofanywa Makomelo, Igunga. Kushoto ni Johari  Mayoka na kulia ni Katibu wa CCM mkoa wa Tabora Iddi Ali Ame

 Kinana akisindikizwa na Ame, kupita kwenye paredi la Chipukizi
 Wananchi wakimsubiri wa hamu eneo la kijiji cha Makomelo, Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana alipowasili kwenye eneo la mapokezi kwenye kijiji hicho Wilayani Igunga, jioni hii, kwa ajili ya kuanza ziara ya siku kumi katika mkoa wa Tabora.
 Viongozi wakimsubiri wa hamu eneo la kijiji cha Makomelo, Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana alipowasili kwenye eneo la mapokezi kwenye kijiji hicho Wilayani Igunga, jioni hii, kwa ajili ya kuanza ziara ya siku kumi katika mkoa wa Tabora.
 Kinana akisalimiana na Mkuu wa mkoa wa Tabora Fatma Mwasa. Kushoto ni Mbunge wa Nzenga Dk.Hamis Kigwangala


 Kinana akisalimia wananchi wakati wa mapokjezi hayo ya kuingia mkoani Tabora
 Kinana akizungumza na wananchi waliojitokeza kumpokea eneo la Makomelo, Igunga mkoani Tabora. Kulia ni Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye
Katibu Mkuu wa CCM Abdultahman Kinana akisindikizwa na Mkuu wa mkoa wa Tabora, Fatma Mwasa kuondoka eneo la mapokezi kwenda mjini Igunga.
 Katibu wa CCM mkoa wa Tabora, Iddi Ali Ame akisoma taarufa ya Chama ya mkoa huo, baada ya Kinana (kulia) kuwasili Igunga mkoani Tabora. Kushoto ni Katibu wa NEC, Irikadi na Uenezi, Nape Nnauye
 Mkuu wa mkoa wa Tabora, Fatma Mwasa, akieleza utekelezaji wa ilani ya CCM mkoani kwake, mbele ya Kinana.Picha zote na Bashir Nkoromo wa theNkoromo Blog

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages