Breaking News

Your Ad Spot

May 25, 2014

MWILI WA MAREHEMU AMINA NGALUMA WAWASILI DAR


Mwili  wa mwanamuziki Amina Ngaluma ukipokelewa Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere ukitokea Thailand alipofia.
Jeneza lenye mwili wa  Amina Ngaluma likiwekwa kwenye gari tayari kupelekwa kwa mumewe Kitunda.

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages