Rachel Haule ‘Recho' enzi za uhai wake.
MWIGIZAJI
wa sinema za Kibongo, Rachel Haule ‘Recho,’ amefariki dunia asubuhi hii
Akiwa katika Chumba cha wagonjwa wanaohitaji Uangalizi Maalumu ICU.
Taarifa za awali zinasema kuwa Marehemu alijifungua jana Kwa Operesheni
lakini Bahati Mbaya Mtoto akafariki na baada ya operesheni hiyo ndipo
na yeye hali ikawa mbaya na kupelekwa ICU hadi mauti yalipomfika leo
Asubuhi.
MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHALI PEMA PEPONI. AMEN!
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269