Breaking News

Your Ad Spot

May 21, 2014

SABODO JENGO LA AZINDUA MAEGESHO YA MAGARI JIJINI DAR ES SALAAM




Waziri wa nchi katika ofisi ya Rais asiye na Wizara maalum Profesa, Mark Mwandosya akiongea wakati wa Uzinduzi huo

Mzee Mustafa Sabodo wakikata keki kuashiria uzinduzi wa  jengo la Maegesho ya Magari la SABODO

Waziri wa nchi katika ofisi ya Rais asiye na Wizara maalum Profesa, Mark Mwandosya(kulia) akifunua panzia na Mzee Mustafa Sabodo wakizindua jengo la Maegesho ya Magari la SABODO jijini Dar es Salaam jana.Kushoto ni Alhaj Shiraz Jessa

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages