Breaking News

Your Ad Spot

May 29, 2014

SAFARI YA MWISHO YA MAREHEMU MAXMILIAN NGUBE

Jeneza lenye Mwili wa Marehemu Maxmilian John Ngube likiwa kwenye viwanja vya Leaders Club Jijini Dar es Salaam mchana wa leo tayari kwa shughuli ya kuagwa na kwenda kuzikwa kwenye makaburi ya Kinondoni.Max Ngobe alifariki Dunia mwishoni mwa wiki iliyopita kutoka na maradhi ya moyo yaliyokuwa yakimsumbua kwa muda mrefu.
Risala fupi ikisomwa wakati wa Shughuli hiyo na Kuangwa kwa Marehemu Max Ngobe mmoja wa wanahabari wakongwe Tanzania.
Wanahabari wakirekodi tukio la kuaga Mwili wa Marehemu Max.
Sehemu ya waombolezaji wakiwa kwenye foleni ya kwenda kuaga mwili wa Marehemu Max.

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages