Breaking News

Your Ad Spot

Jun 21, 2014

MAADHIMISHO YA SIKU YA MAGEREZA NCHINI YAFANA CHUO CHA UKONGA DAR!


Askari akiwa kabeba tofali linalovunjwa kwa nyundo huku chini kukiwa na kisu.
Zoezi la kutoa heshima kwa mgeni rasmi likiendelea.…
Askari akiwa kabeba tofali linalovunjwa kwa nyundo huku chini kukiwa na kisu.
Zoezi la kutoa heshima kwa mgeni rasmi likiendelea.
Askari akipiga nyundo tofali lililokuwa katika kichwa cha askari shupavu wa magereza.
Hawa ni askari wa kike, wataalamu wa mchezo wa judo.
Hapa ndipo maadhimisho hayo yalipofanyika.
Kamishna Jenerali wa Magereza, John Minja akiwa na mgeni rasmi Mhe.Chikawe.
Kamishna Jenerali wa Magereza wa Namibia, Raphael Tuhafeni Hamunyela.
Mmoja wa askari wa kikosi cha magereza akionyesha ukomavu kwa kuvunjiwa tofali mgongoni.
Askari wakitoa heshima za kijeshi.
Askari shupavu akiruka juu na kuvunja ubao.
Brass Band wakitoa heshima kwa ala za muziki.
Kikosi maalumu cha judo katika kitengo cha magereza wakionyesha mambo yao.
Baadhi ya askari wa magereza mbalimbali nchini.
Mgeni Rasmi, Mhe. Mathias Chikawe akiweka mchanga baada ya kupanda mti.
Igizo la wafungwa wanapodhibitiwa na askari baada ya kuleta fujo gerezani.
Kamishna wa Magereza kutoka Namibia, Raphael Hamunyela akipanda mti eneo la Gereza la Ukonga.
ASKARI magereza jana walisherekea siku ya magereza katika chuo cha Ukonga Dar. Maadhimisho hayo yalisindikiza na burudani mbalimbali ikiwemo gwaride la askari, michezo ya judo na muziki.
Lengo la maadhimisho hayo ni kuielimsha jamii kuwa gerezani si eneo la mateso bali kujirekebisha na kujifunza mambo mbalimbali ikiwemo ufundi, kilimo, ufugaji na fani nyinginezo .
Katika maadhimisho hayo mgeni rasmi alikuwa ni Waziri wa Mambo ya Ndani, Mhe. Mathias Chikawe ambapo katika hutuba yake aliahidi kupeleka ombi la msamaha wa wafungwa kwa Rais Jakaya Kikwete kama walivyoomba wafungwa.
(Habari/Picha na Gabriel ng’osha/GPL)

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages