Breaking News

Your Ad Spot

Jun 1, 2014

MWILI WA MAMA MZAZI WA MBUNGE WA KIGOMA KASKAZINI ZITTO KABWE WASAFIRISHWA KUELEKEA KIGOMA

Wakazi wa jiji wakiingiza mwili wa Mama mzazi wa Zito Kabwe Mbunge wa Kigoma Kaskazini (Shida Salumu)katika gari tayari kwa Safari ya kuelekea Kigoma mara baada ya kuswaliwa katika msikiti wa Maamul jijini Dar es Salaam jana.Marehemu anatarajiwa kuzikwa mjini kigoma

Mbunge wa Musuma Vijijini Nimrod Mkono (kulia)na Mbunge wa Bunda Stephen Wasira (kushoto) wakifariji Mbunge wa Kigoma Kaskazini,Zito Kabwe kwa kufiwa na Mama yake Mzazi


Waumini wa Kiislamu wakiomba dua kwa marehemu katika msikiti wa Maamul jijini Dar es Salaam jana

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages