Breaking News

Your Ad Spot

Jun 22, 2014

NEWS ALERT: 18 WAHOFIWA KUFARIKI KATIKA AJALI YA DALADALA NA LORI ILIYOTOKEA JANA ENEO LA MAKONGO JIJINI DAR

Habari zilizotufikia zinasema ajali mbaya imetokea eneo la Makongo jijini Dar es salaam zikihusisha magari mawili aina ya  Coaster zimegongana na kusababisha vifo vya watu ishirini papo hapo 

Moja wapo ya Daladala aina ya Coster iliyo husika katika ajali hiyo
R.I.P
Tunatoa pole kwa familia zote zilizo fikwa na msiba huu. Habari zaidi tutawaletea tutakapo zipata

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages