Breaking News

Your Ad Spot

May 30, 2014

PINDA AKIPIGA STORI NA WANAFAMILIA WA WAZIRI MUHONGO



Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na familia  ya Waziri wa Nishati na Madini Profesa Peter Muhongo (hayupo pichani) baada ya Bunge kupitisha bajeti ya Wizara hiyo mjini Dodoma Mei 30, 2014. Wapili kulia ni Mke wa Waziri huyo, Bertha  Mamuya na wengine ni mabinti wa Waziri , Nyasige Sospeter  (kushoto) na  Bertha Kimariyo .
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa katika picha ya pamoja na Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo(kulia) na mkewe, Bertha Mamuya (kushoto) baada ya Bajeti ya Wizara hiyo kupitishwa na Bunge  Mjini Dodoma, Mei 30, 2014.Wengi ni   Mabinti wa Waziri huyo,Bertha Kimariyo (wapili kushoto) na Nyasige Peter.Picha na ofisi ya Waziri Mkuu

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages