Jeneza lenye mwili wa Tyson
Mdogo wa marehemu aitwaye Carlo akilia baada ya kuliona jeneza lililobebaa mwili wa marehemu
Mchungaji Bob Makari wa kanisa la Ocean Community Church alilokuwa akisali marehemu.
Monalisa akiwa katika huzuni
Mtoto wa Tyson aitwaye Sonia akilia kwa huzuni
….akitoa heshima za mwisho kwa marehemu baba yake
Natasha, Sonia na Monalisa wakiwa na nyuso za huzuni wakati wa ibada kwa marehemu Tyson
Mke wa marehemu Tyson aitwaye Beatrice Shayo (kulia) akiwa na dada yake.
Waombolezaji wakiwa wamejipanga kuupokea mwili wa marehemu George Otieno ‘Tyson’.
Mwili ukishushwa kutoka kwenye gari.
…Ukiingizwa nyumbani.
Mboni Masimba (kati) akiwa na simanzi uchungu nyumbani kwa marehemu George Tyson.
Waigizaji Vanita, Natasha na ndugu wa marehemu wakiwa na huzuni.
Monalisa akiuaga mwili wa Tyson.
Jeneza alimolazwa Tyson.
Beatrice Shayo akilia kwa uchungu.
Jeneza lenye mwili wa marehemu George Otieno ‘Tyson’ likiwa Viwanja vya Leaders tayari kwa shughuli za kuagwa.
Jeneza lenye mwili wa marehemu George Otieno ‘Tyson’ likiwa mbele ya baadhi ya waombolezaji.
Mkuu
wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Mecky Sadick (katikati) akiwa na Rais wa
TAFF, Simon Mwakifwamba (wa kwanza kushoto) na Mwenyekiti wa Bongo Muvi,
Steve Nyerere (wa pili kulia) wakisubiri kuongoza shughuli za kuaga
mwili wa Tyson.
Aliyekuwa
mke wa marehemu, Yvonne Cherry ‘Monalisa’ (kulia) akilia kwa simanzi
pamoja na mwanae aliyezaa na marehemu Tyson, Sonia (katikati).
Mwili wa marehemu George Otieno ‘Tyson’ ukiwasili Viwanja vya Leaders.
Mwili wa marehemu ukitolewa kwenye gari.
Waombolezaji wakiwa Viwanja vya Leaders.
OTIEJeneza likipelekwa eneo maalum Leaders.










No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269