Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete
kushoto, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt.
Ali Mohamed Shein wa pili, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal na Kaimu Mufti wa Zanzibar,
wakiwa pamoja na wananchi wa Zanzibar katika Dua ya ya kukumbuka kifo
cha Rais wa Kwanza wa Zanzibar Hayati Sheikh Abeid Amani Karume
iliyofanyika jana Aprili 07, 2014 Ofisi Kuu ya CCM Kiswandui mjini
Zanzibar.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete (wa
pili kushoto), Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Mhe. Dkt. Ali Mohamed Shein (wa tatu kutoka kushoto), Makamu wa Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal na Kaimu
Mufti wa Zanzibar, wakiwa pamoja na wananchi wa Zanzibar katika Dua ya
ya kukumbuka kifo cha Rais wa Kwanza wa Zanzibar Hayati Sheikh Abeid
Amani Karume iliyofanyika jana Ofisi Kuu ya CCM Kiswandui mjini Zanzibar.
Baadhi ya Viongozi
na Wananchi wa Zanzibar, wakijumuika pamoja kwenye Dua maalum ya
kumbukumbu ya kifo cha Rais wa Kwanza wa Zanzibar Hayati Sheikh Abeid
Amani Karume iliyofanyika jana katika Ofisi Kuu ya CCM Kiswandui mjini
Zanzibar.
Wake
wa Viongozi wakiwa katika Dua maalum ya kumbukumbu ya kifo cha Rais wa
Kwanza wa Zanzibar Hayati Sheikh Abeid Amani Karume iliyofanyika jana
April 07-2014 Ofisi Kuu ya CCM Kiswandui mjini Zanzibar.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete
kushoto, akizungumza na Spika wa Baraza la Wawakilishi Mhe. Pandu Ameir
Kificho, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt.
Mohammed Gharib Bilal na Viongozi mbalimbali nje ya Jengo la Ofisi ya
CCM Kiswandui mara baada ya kumalizika Dua maalum ya kumbukumbu ya kifo
cha Rais wa Kwanza wa Zanzibar Marehemu Sheikh Abeid Amani Karume
iliyofanyika jana Ofisi Kuu ya CCM Kiswandui mjini Zanzibar.
Wake wa Viongozi waliohudhuria dua hiyo maalum.
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269