Meneja wa Uhusiano Mambo ya Nje wa
Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Emma Oriyo (kushoto) akishiriki na
viongozi mbalimbali kufanya usafi, Ilala, Dar es Salaam juzi, katika
maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani Dar es Salaa
Meneja wa Uhusiano Mambo ya Nje wa
Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Emma Oriyo (kushoto) akishiriki na
viongozi mbalimbali kufanya usafi, Ilala, Dar es Salaam juzi, katika
maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani Dar es Salaam.
Mstahiki Meya wa Manispaa ya Ilala,
Jerry Silaa,(wa pili kulia) akishiriki na viongozi mbalimbali na
wafanyakazi wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), kufanya usafi Ilala, Dar
es Salaam,
katika maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani.
Mstahiki Meya wa Manispaa ya Ilala,
Jerry Silaa (katikati) akikabidhiwa vifaa vya usafi vyenye thamani ya
sh.mil. 15 na Ofisa Uhusiano wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Dorris
Malulu katika
hafla iliyofanyika, Ilala, Dar es
Salaam, ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani.
Wafanyakazi wa TBL walishiriki kufanya usafi eneo la Karume, Ilala.
Kushoto ni Meneja
Uhusiano wa TBL, Emma Oriyo.
Mstahiki Meya wa Manispaa ya Ilala,
Jerry Silaa (katikati)akikabidhiwa vifaa vya usafi vyenye thamani ya
sh.mil. 15 na Ofisa Uhusiano wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Dorris
Malulu katika
hafla iliyofanyika, Ilala, Dar es
Salaam, ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani.
Wafanyakazi wa TBL walishiriki kufanya usafi eneo la Karume, Ilala.
Kushoto ni Meneja
Uhusiano wa TBL, Emma Oriyo.
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269