Askari kanzu (kulia), akimpeleka Kituo Kikuu cha Polisi, kijana
aliyedaiwa kumkwapua sh. milioni tano, mtu aliyetoka benki ya NBC Jijini Dar es Salaam, leo. Hata hivyo inadaiwa wenzake na mtuhumiwa huyo walifanikiwa kutoweka
na fedha hizo. (PICHA NA KASSIM MBAROUK
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269