Breaking News

Your Ad Spot

Jul 7, 2014

WAZIRI KABAKA, MRISHO MPOTO NDANI YA BANDA LA PSPF KWENYE MAONYESHO YA SABASABA

 Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Adam Mayingu, akimpa maelezo, Waziri wa Kazi na Ajira, Gaudentia Kabaka, wakati alipotembelea banda la Mfuko huo kwenye maonyesho ya 38 ya biashara ya kimataifa ya Dar es Salaam, LEO, Jumatatu Julai 7, 2014
Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Adam Mayingu, (Kulia), akimkabidhi kadi ya uanachama wa Mfuko huo, Mwanachama Mpya, Msanii maarufu nchini, Mrisho Mpoto (Katikati), kwenye maonyesho ya 38 ya biashara ya kimataifa ya Dar es Salaam LEO Jumatatu Julai 7, 2014. Kushoto ni Afisa Uhusiano Mwandamizi wa Mfuko huo, Abdul Njaidi

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages