Dar es Salaam, Tanzania
Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk. Fenella Mukangara atakuwa mgeni rasmi katika uzinduzi wa mafunzo ya makocha wa mpira wa miguu utakaofanyika kwenye Uwanja wa Karume, leo Agosti Mosi, 2014, kuanzia saa nne asubuhi.
Taarifa iliyotolewa na Kitengo cha Mawsiliano Serikalini, Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo imesema, mafunzo hayo yanaendeshwa na wataalam kutoka Barcelona nchini Hispania
Kufuatia umuhimu wa tukio hilo, Waandishi wa habari wamekaribishwa kuhudhuria.
Your Ad Spot
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot

No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269