Breaking News

Your Ad Spot

Aug 18, 2014

SUMATRA MKO WAPI? ABIRIA HAWA WAMETESEKA ZAIDI YA SAA SITA BILA MSAADA!!!!

 Abiria wakwama njiani zaidi ya saa sita abiria ambao walikuwa wanaelekea mwanza na gari la princes shabaha  wamezidi teseka  huku  hawajui hatima yao ya safari Gari hilo lenyenamba za usajili T102 AVX  wamekwama maeneo ya Kibamba jiji Dar es salamu  huku kina mama na watoto wakizidi kuteseka



 Mama huyu akiteseka na mtoto mdogo
 Abiria wakiwa nje ya basi



 Baadhi ya abiria wakijadiliana nini cha kufanya ili wapate usafiri mwingine
 Hizi ndio namba za basi hilo







No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages