Breaking News

Your Ad Spot

Sep 27, 2014

KINANA AWASILI LUSHOTO ASUBUHI HII KUENDELEA NA ZIARA YAKE MKOA WA TANGA

 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akishiriki ujenzi wa Ofisi ya CCM tawi la Jegestal, wilayani Lushoto mkoa wa Tanga, baada ya kuwasili wilayani humo akiwa katika ziara ya kukagua uhai wa Chama, kukagua na kuhimiza utekelezaji wa ilani ya uchaguzi wilayani humo.
Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akiingia kwenye Ofisi za CCM wilaya ya Lushoto baada ya kuwasili asubuhi hii.

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages