Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Mjumbe wa Bunge Maalum la katiba, Kapteni John Komba, Bungeni mjini Dodoma Septemba 29, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Pandu Ameir kificho (kushoto) na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Iddi wakiteta, Bungeni mjini Dodoma Septemba 29, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba Lazaro Nyarandu (kushoto) na Mwigulu Mchemba wakiteta, bungeni Mjini Dodoma Septemba 29, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza, Bungeni Mjini Dodoma Septembe 29, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269