Breaking News

Your Ad Spot

Oct 15, 2014

RAIS JAKAYA KIKWETE AWASILI DODOMA KUONGOZA VIKAO VYA KAMATI KUU NA NEC YA CCM

 Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM),Abdulrahman Kinana akimkaribisha Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete muda mfupi baada ya Rais kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Dodoma jana, ambapo aliongoza vikao vya CCM. Wa pili kushoto ni Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na watatu kushoto ni Makamu wa CCM Bara, Philip Mangula. (PICHA NA FREDDY MARO)
 Baadhi Wanachama wa Umoja wa Vijana wa CCM mkoa wa Dodoma wakimvika skafu na kumkaribisha Mwenyekiti wa CCM Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete muda mfupi baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Dodoma ambapo anatarajiwa kuongoza vikao vya ngazi ya juu vya CCM.

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages