Breaking News

Your Ad Spot

Nov 3, 2014

RAIS KIKWETE AFUNGUWA MKUTANO MKUU WA 12 WA SHIRIKISHO LA TAASISI ZA KUZUIA NA KUPAMBANA NA RUSHWA KWA NCHI ZA SADC


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiteta jambo na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Utawala Bora Kapt.George Mkuchika katika Mkutano wa 12 wa Shirikisho la Taasisi za Kuzuia na Kupambana na Rushwa kwa nchi za SADC (Southern African Forum Against Corruption) ulioanza leo ukitarajiwa kumalizika Ijumaa ya tarehe, 07/11/2014 Katika Hoteli ya Malaika jijini Mwanza.  
  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia Mkutano wa 12 wa Shirikisho la Taasisi za Kuzuia na Kupambana na Rushwa kwa nchi za SADC (Southern African Forum Against Corruption) ulioanza leo ukitarajiwa kumalizika Ijumaa ya tarehe 07/11/2014 Katika Hoteli ya Malaika jijini Mwanza.
  Baadhi ya wadau wa mkutano wa 12 wa Shirikisho la Taasisi za Kuzuia na Kupambana na Rushwa kwa nchi za SADC (Southern African Forum Against Corruption) ulioanza leo ukitarajiwa kumalizika Ijumaa ya tarehe 07/11/2014 Katika Hoteli ya Malaika jijini Mwanza
  Washiriki wa Mkutano wa 12 wa Shirikisho la Taasisi za Kuzuia na Kupambana na Rushwa kwa nchi za SADC (Southern African Forum Against Corruption) ulioanza leo ukitarajiwa kumalizika Ijumaa ya tarehe 07/11/2014 Katika Hoteli ya Malaika jijini Mwanza.
 Kutoka kushoto ni Mbunge wa Sengerema William Ngeleja, Meya wa Manispaa ya Ilemela Henry Matata, Mkuu wa wilaya ya Nyamagana BarakaBKonisaga na Mkuu wa wilaya ya Ilemela Amina Masenza wakisikiliza kwa umakini yanayojiri ndani ya Mkutano wa 12 wa Shirikisho la Taasisi zaBKuzuia na Kupambana na Rushwa kwa nchi za SADC (Southern African Forum Against Corruption) ulioanza leo ukitarajiwa kumalizika Ijumaa ya tarehe 07/11/2014 Katika Hoteli ya Malaika jijini, Mwanza.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, akimpongeza Angel Magati ambaye aliimba wimbo maalum wa Kuzuia na Kupambana na Rushwa.

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages