Breaking News

Your Ad Spot

Jan 28, 2015

BREAKING NEWS.....,AJALI YA MOTO YATOKEA MWANANYAMALA MAENEO YA SHULE

MOTO umeibuka mchana wa leo katika nyumba iliyopo maeneo Mwananyamala B karibu na maeneo ya shuleni, jijini Dar es Salaam,Nakuteketeza sehemu kubwa ya jengo hilo na baadhi ya mali zilizokuwemo ndani yake.
Chanzo halisi cha moto huo hakikuweza kufahamika mara moja ingawa inadaiwa kuwa huenda ilikuwa ni shoti ya umeme  katika nyumba hiyo. Hakuna mtu yeyote aliyedhurika na moto huo.

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages