Breaking News

Your Ad Spot

Jan 8, 2015

MTEMVU APATA UGENI MZITO KUTOKA VYUO VIKUU VYA MAREKANI


Baadhi y wanafunzi kutoka vyuo vikuu vya State  University of New York na University  Of Buffalo wakiwa katika ofisi ya Mkuu wa wilaya ta Temeke Dar es salaam leo ambapo wameweza kufika katika ofisi hiyo kujua mambo mbalimbali katika jimbo la Temeke ikiwa ni kwa mwaliko wa Mbunge wa Temeke, Abbas Mtemvu

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages