Breaking News

Your Ad Spot

Jan 19, 2015

MWENYEKITI WA SITTI TANZANIA FAUNDATION, SITTI MTEMVU ALIPOWATEMBELEA WATU WENYE ALIBINIZIM KUTOA MSAADA KATIKA KITUO HICHO CHA (UNDER THE SAME SUN)

Mwenyekiti wa Sitti Tanzania Faundation, Sitti Mtemvu (wa pili kushoto), akiuangalia mkono wa Adam Robert (aliye vaa flana ya njano) alipo tembelea kituo cha watu wenye   Albinizim mwishoni mwa wiki Dar es Salaa, ambaye alikatwa kidole katika kijiji cha Nyaruguguna Geita nakutibiwa Vancouver, Canada kwa matibabu na madaktari wa Hospitali hiho walijitolea kwa kila kitu kumtibu Adam kidole cha kati cha Mguu wa kulia kilipandikizwa  kwanye kitu , Kidole cha kati cha mguu wa kuliakilipandikizwa kwenye kiganja chake cha  mkono wa  kulia kuwa kidole gumba chake kipya, wakwanza  ni  Mariam Staford kushoto ambaye alitokea kijiji cha Ntobeye Wilaya  Ngara Karagwe na Kurwa Lusana toka kijiji cha mbizi Kahama   (kulia)   (PICHA NA KHAMISI MUSSA).

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages