Breaking News

Your Ad Spot

Feb 16, 2015

Baraza la Biashara Mkoa wa Dodoma lasisitiza ushirikiano na Serikali

Mkuu wa Mkoa Dodoma na Mwenyekiti wa Baraza la Biashara Mkoa wa Dodoma Mhe. Chiku Gallawa akitoa hotuba ya kufungua mkutano wa baraza hilo Mjini Dodoma . 
Mkuu wa Mkoa Dodoma na Mwenyekiti wa Baraza la Biashara Mkoa wa Dodoma Mhe. Chiku Gallawa akitoa hotuba ya kufungua mkutano wa baraza hilo Mjini Dodoma .  
Katibu Mtendaji wa Baraza la Biashara la Taifa (TNBC) Raymond Mbilinyi akiwasilisha majukumu ya Baraza hilo katika kusaidia mabaraza ya biasara ya Mikoa na jinsi ya kukuza ushirikiano kati ya Serikali na Sekta binafsi wakati wa mkutao wa baraza la biashara Dodoma lililokutanisha viongozi wa  wafanayabiashara wa chini na juu. 
Wajumbe wa baraza la biashara Mkoa wa Dodoma wakifuailia mada juu ya ushirikiano wa serikali na sekta binafsi na kuzalisha fursa za uwekezaji Mkoani Dodoma wakati wa Mkutano wa Baraza hilo. 
Wajumbe wa baraza la biashara Mkoa wa Dodoma wakifuailia mada juu ya ushirikiano wa serikali na sekta binafsi na kuzalisha fursa za uwekezaji Mkoani Dodoma wakati wa Mkutano wa Baraza hilo.
Mwenyekiti wa wafanyabiashara wadogowadogo (wamachinga) Manispaa ya Dodoma Nobert Donald akiwasilisha changamoto zinazowakabili wamachinga mbele ya wajumbe wa mkutano wa baraza la biashara Mkoa wa Dodoma.  
Mwenyekiti wa wafanyabiashara, wakulima na wenyeviwanda Mkoa wa Dodoma (TCCIA) Faustine Mwakalinga akiwasilisha mada juu ya fursa za kipekee za uwekezaji katika Mkoa wa Dodoma na Changamoto zilizopo wakati wa Mkutano wa Baraza la Biashara Mkoa wa Dodoma. (Picha zote na John Banda)

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages