Katibu
Mtendaji wa Baraza la Michezo la Taifa Bw. Henry Riaya (kulia) akisaini
Waraka wa Brighton Declaration kuhusiana na usawa wa kijinsia katika
michezo, hafla hiyo imefanyika jijini Dar es Salaam leo (jana) kushoto
ni Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Maendeleo ya Michezo Bi. Juliana
Yassoda.
Baadhi
ya wanahabari wakimsikiliza Katibu Mtendaji wa Baraza la Michezo la
Taifa Bw. Henry Riaya hayupo pichani akizungumza na wanahabari hawapo
pichani katika hafla ya kusaini Waraka wa Brighton Declaration kuhusiana
na usawa wa kijinsia katika michezo.Hafla hiyo imefanyika jijini Dar es
Salaam leo. (jana.)
Picha zote na Benjamin Sawe -WHVUM
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269