Breaking News

Your Ad Spot

Feb 12, 2015

DK.SHEIN AZUNGUMZA NA UONGOZI WA WIZARA YA ARDHI,MAKAAZI MAJI NA NISHATI.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akiongoza kikao siku moja cha Wizara ya Ardhi,Makaazi,Maji na Nishati kilichozungumzia utekelezaji mpango kazi wa Wizara ya hiyo kwa kipindi cha mwezi Julai-Disemba 2014 katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar leo jioni,[Picha na Ikulu.] dk2 
Waziri wa Ardhi,Makaazi,Maji na Nishati Ramadhan Abdalla Shaaban (kulia) alipokuwa akitoa Taarifa ya Utekelezaji wa mpango kazi wa Wizara ya hiyo kwa kipindi cha mwezi Julai-Disemba 2014 katika kikao kilichofanyika leo jioni ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar (kushoto) Naibu wake Haji Mwadini Makame,[Picha na Ikulu.)
 dk3
Baadhi ya Watendaji wa Wizara ya Ardhi,Makaazi,Maji na Nishati  wakifuatilia kwa makini Taarifa ya Utekelezaji wa mpango kazi wa Wizara ya hiyo kwa kipindi cha mwezi Julai-Disemba 2014 katika kikao kilichofanyika leo jioni ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar  iliyosomwa na Waziri Ramadhan Abdalla Shaaban (hayupo pichani) mbele ya Mwenyekiti wa KIkao hicho Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,[Picha na Ikulu.]

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages