Breaking News

Your Ad Spot

Feb 5, 2015

NAPE AKUTANA NA UONGOZI WA TANZANIA STANDARD NEWSPAPERS (TSN) NA RAIA MWEMA LEO

 Katibu wa NEC, Itrikadi na Uenezi, Nape Nnauye akipokewa na Mhariri Mtendaji wa Kampunu ya Magazeti ya Serikali ya Tanzania Standard Newspapers (TSN), Gabriel Nderumaki alipowasili leo kwenye Ofisi za kampuni hiyo kwa ajili ya kuwa na mazungumzo na uongoz. TSN ni wachapishaji wa magazeti ya Daily News, Sunday News, Habari Leo na Sport Leo.
 Nderumaki akimuonyesha Nape chumba cha habari cha Daily News
 Sehemu ya chumba cha habari cha Daily News
 Nderumaki akiwatambulisha kwa Nape baadhi ya viongozi wanaosimamia magazeti ya Habari leo, Nicodemus Ikonko (kulia) na Nelson Goima. Ikonko ni ni Kaim Mhariri na Goima ni Mhariri Msanifu
 Nape akiuliza baadhi ya mambo alipokuwa akitambulishwa na Nderumaki kwa Mhariri wa Habari wa Habari leo, Eric Anthony (kulia)
 Nape akilipitia gazeti la Habari Leo wakati kwenye Ofisi za TSN. Kulia ni Katibu wa TSN Mwadawa Saqware.
 Nape akisaini kitabu cha wageni. Kushoto ni Mkurugenzi wa Mawasilino ya Umma wa Makao Makuu ya CCM, Godfrey Chongolo akisoma gazeti la Habari Leo
Nderumaki akitoa maelezo muhimu kuhusu mafanikio na changamoto kuhusu kampuni ya TSN wakati wa mazungumzo na Nape.
 Nape (kulia) akizungumza kujibu maelezo ya Nderumaki wakati wa mazungumzo hayo
 Nape akifafanua akiendelea kueleza mambo kadhaa. Wengine ni Ikonko, Mhariri wa Daily NewsTuma Abdallah, Goima, Eric na Mwandishii wa Online wa Daily News, Ashery Mukama
 Nape akimalizia mazungumzo yake na uongozi huo, kwa kuwatakia kila la heri katika utendaji wao
 Katibu wa TSN Mwadawa Saqware akimpatia Nape zawadi za  Diary za TSN
 Nape na msafara wake wakiwa katika picha ya pamoja na uongozi wa magazeti ya TSN
 Nape akiteta yaliyosalia na Nderumaki baada ya picha hiyo ya pamoja
Nape akiagana na Nderumaki.

RAIA TANZANIA
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye, akisalimina na Mhariri Mkuu wa Magazeti ya Raia Mwema na Raia Tanzania Godfrey Dilunga, kwenye ofisi za magazeti hayo mtaa wa Mwinyijuma,Kinondoni jijini Dar es Salaam.
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akionyeshwa sehemu ya waandishi wanapoandaa habari na Mhariri Mkuu wa Magazeti ya Raia Mwema na Raia Tanzania
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akizungumza na baadhi ya viongozi na wahariri wa gazeti la Raia Tanzania na Raia Mwema.
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akiwa kwenye picha ya pamoja na wahariri wa gazeti la Raia Mwema na Raia Tanzania.

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages