Breaking News

Your Ad Spot

Feb 21, 2015

Ratiba ya Ligi kuu soka nchini Uingereza leo iko hapa

Ligi ya England itaendelea tena leo kwa nyasi za viwanja saba kuwaka moto katika michezo ya mzunguko wa raundi ya 26.
Vinara wa ligi Chelsea watakua katika uwanja wao wa nyumbani Stamford Bridge kuwakabili Burnley walioko nafasi ya pili toka mkiani Mwa msimo wa ligi.
Man City walioko nafasi ya pili kwa watawakaribisha Newcastle katika dimba la Etihad Stadium,huku Man United wakisafiri mpak kwenye uwanja wa Liberty Stadium kupetetana na Swansea.
Arsenal nao watakua ugenini katika uwanja wa Selhurst Park kuwakabili Crystal Palace katika kuwania alama tatu muhimu.
Michezo mingine itakuwa na kati ya Aston Villa dhidi ya Stoke utakaochezwa Villa Park,Hull City watachuana na QPR
Sunderland watakua wenyeji wa West Brom katika mchezo utakao pigwa kwenye dimba la Stadium of Light. England - Premier League
February 21
18:00
Aston Villa
? - ?
Stoke City
18:00
Chelsea
? - ?
Burnley
18:00
Crystal Palace
? - ?
Arsenal
18:00
Hull City
? - ?
Queens Park Rangers
18:00
Sunderland
? - ?
West Bromwich Albion
18:00
Swansea City
? - ?
Manchester United
20:30
Manchester City
? - ?
Newcastle United

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages