Breaking News

Your Ad Spot

Mar 20, 2015

DIAMOND AFANYIWA UPASUAJI WA MGUU.


Mwanamuziki Diamond Platnumz Amejikuta katika wakati mgumu Baada ya Tatizo la Mguu lilikuwa likimsumbua kwa miaka miwili kufikia hatua mpaka kufanyiwa upasuaji kuokoa mguu wake usikatwe..Diamond alipelekwa Hospitali ya TMJ baada ya maumivu kuzidi na baada ya kufanyiwa uchunguzi aligundulika na Ugongwa unaitwa FOOT CORN ama Kisahani kwenye Goti ..Ambapo Daktari alisema ni Ugonjwa mbaya sana ambao usipotibiwa haraka hulazika mgonjwa kukatwa Mguu..Diamond amefanyiwa upasuaji na kuondoa Tatizo hilo katika Mguu wake..

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages