Breaking News

Your Ad Spot

Mar 17, 2015

KAKOBE : ROSE MUHANDO SI MLOKOLE HATA KIDOGO KWA KUWAKATISHA VIUNO WANAUME STEJINI



Kiongozi wa Kanisa la Full Bible Gospel Fellowship, Askofu Zakaria Kakobe Amewalipua baadhi ya Wanasiasa na waimbaji wa Injili wanaotumia neno uokovu katika maisha yao wakati haipo hivyo...
 Askofu Kakobe aliyasema hayo alipokuwa akihubiri kanisani kwake na kumtolea mfano Mwimbaji Rose Mhando na kusema hana sifa za ulokole kwa kuwa anawachezesha wanaume kwa kukata mauno kwenye nyimbo zake , Amesema "Hivi kweli mtu kama Rose Muhando unaweza sema ameokoka ..embu tuache utani na kumrudia Mungu Jamani"

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages