Breaking News

Your Ad Spot

Mar 15, 2015

MAMA PINDA AKISALIMIANA NA MKE WA WAZIRI MKUU WA JAPAN

unnamed
Mke wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda akisaliiana na Mke wa Waziri Mkuu wa Japan, Mama Akie Abe  katika hafla iliyoandaliwa na Waziri Mkuu wa Japan Shinzo Abe kwa washiriki wa Mkutano wa tatu wa dunia  kuhusu upunguzaji wa hatari ya majanga duniani ulioanza machi 14 katika mji wa Sendai Japan.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages