Breaking News

Your Ad Spot

Mar 7, 2015

RAIS KIKWETE AZINDUA STUDIO ZA AZAM TV TABATA DAR ES SALAA, ILIYOGHARIMU BILIONI 56 YENYE UBORA SAWA NA BBC, CNN, ALJAZEERA


Rais Kikwete akihutubia baada ya uzinduzi wa Studio Mpya ya  Azam TV Tabata Relini jijini  Dar es Salaam  (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA) Mmiliki wa ujiji blog
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia wakati wa uzinduzi wa Studio mpya za Azam Tv zilizoko Tabata jijini Dar

Copy and WIN : http://bit.ly/copynwin
Miongoni mwa wageni  Mwenyekiti wa chama cha wananchi (CUF) Ibrahim Lipumba, na kulia  aliyetupa mgongo ni  Mwenyekiti wa (NCCR)  Mageuzi James Mbatia, waliofika katika Uzinduzi huo


 Afande Mohammd Mpinga  ni nimiongoni mwa waalikwa

 Baadhi ya Wasanii wa Orijino Komed  TBC , nawao walifika kujionea Uzinduzi huo
Afande Suleiman Kova (kulia)   na watoto wa Said Bhresa wakiwa tayari kwa  kumbpokea Rais
Wanahabari wakiwa wamejipanga wakimsubisi Rais kukata Utepe
 Rais  Kikwete (wapili kulia )  akikata utepe akiwa na Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt Fenella Mukangara (watatu kushoto)  pamoja na uongozi na baadhi ya wafanyakazi wa Azam TV   wakati wa sherehe za uzinduzi rasmi wa studio mpya za stesheni hiyo iliyopo Tabata Relini jijini Dar es salaam
   Rais  Kikwete akifurahi jambo mara baada ya kukata utepe na mwenyeji wake  Saidi Salim Bakhressa wakwanza kulia na  Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt Fenella Mukangara wa tatu kushoto.
Rais  Kikwete akifunua pazia kuashiria Uzinduzi  rasmi wa Studio hiyo
Rais  Kikwete akipanda kwenye Gari la kisasa la studio hiyo
akitembelea maeneoa ya habari  kuangalia mazingira na utendaji  wakazi.
Rais Kikwete (kushoto) akiwa na viongozi mbalimbali walipokuwa wakiingia ndani ya Ukumbi baada ya kutembelea sehemu ya magari ya Studio Mpya za Azam TV, na (kulia) ni  Naibu Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba.
Viongozi Mbalimbali wa vyama vya Siasa wakiwa makini kwa kumsikiliza Rais alivyokuwa akihutubia,  tukianzia kushoto wa pili ni Naibu Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba , Sheikhe Alhadi Mussa Salim ,Mwenyekiti wa chama cha wananchi (CUF) Ibrahim Lipumba na   Mwenyekiti wa (NCCR)  Mageuzi James Mbatia.


akiwemo
Msanii Mwasiti Almas na Elyas Balnaba, wakitoa burudani wakati wa Uzinduzi wa Studio Mpya  za Azam TV
Viongozi Mbalimbali wa vyama vya Siasa wakiwa makini kwa kumsikiliza Rais alivyokuwa akihutubia,  tukianzia kushoto wa pili ni Naibu Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba , Sheikhe Alhadi Mussa Salim ,Mwenyekiti wa chama cha wananchi (CUF) Ibrahim Lipumba na   Mwenyekiti wa (NCCR)  Mageuzi James Mbatia.
Picha ya pamoja ya famili  wakipiga na Rais Kikwete




Naibu Mtendaji Mkuu wa Azam Media Limited, Tido Mhando ambao ndio wamiliki wa Azam TV,


Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt Fenella Mukangara kabla ya kumkaribisha Mgeni rasmi akitoata pongezi  kwa uongozi mzima wa Studio  hiyo


No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages