
Inspekta Jenerali wa Polisi
IGP Ernest Jumbe Mangu akitoa heshma za mwisho kwa miili ya askari
wawili waliouawa na watu wasiojulikana huko vikindu wilaya ya mkuranga,
mkoani Pwani hivi karibuni. Shughuli za kuiaga miili hiyo zilifanyika
jana katika maeneo hospitali ya barabara ya kilwa jijini Dar es Salaam .
Picha na Hassan Mndeme-Jeshi la Polisi.

No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269