Wajumbe
wa Baraza la Wafanyakazi la Wizara AAAya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na
Watoto katika picha ya pamoja na Naibu waziri wa Maendeleo ya Jamii
Jinsia na Watoto Mhe. Dkt. Pindi Chana (MB) (waliokaa katikati), Mkuu wa
Mkoa wa Morogoro Mhe. Dkt Rajabu Rutengwe (wa pili kulia), Kaimu Katibu
Tawala Mkoa wa Morogoro Bw.Noeli Kazimoto (wa kwanza kulia), katibu
Mkuu wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto Bibi Anna Maembe
na naibu wake Bibi Nuru Millao (kushoto kwa Naibu waziri) mkoani
Morogoro tarehe 9 Aprili, 2015.
Baadhi
ya Wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi la Wizara ya Maendeleo ya Jamii,
Jinsia na Watoto wakiwa katika Uzinduzi wa baraza hilo mkoani Morogoro
tarehe 9 Aprili, 2015.

tarehe 9 Aprili, 2015. Picha zote na Hassan Mabuye
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269