Breaking News

Your Ad Spot

May 3, 2015

MAADHIMISHO YA MEI MOSI UWANJA WA UHURU DAR ES SALAAM.

Wafanyakazi wa Wakala wa Ndege za Serikali wakishiriki Maadhimisho ya Mei Mosi
Wafanyakazi wa Taasisi ya Mifupa Moi wakishiriki Maadhimisho ya  siku ya Mei Mosi katika Uwanja wa Uhuru Dae es Salaam

Wafanyakazi wa Wakala wa Ndege za Serikali wakishiriki Maadhimisho ya Mei Mosi yakiyofanyika katika Uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam

Wafanyakazi wa Wakala wa Ndege za Serikali wakishiriki Maadhimisho ya Mei Mosi wakipita Mbele ya Mgeni Rasmi katika Uwanja wa Uhuru Dar es Salaam 



Wafanyakazi wa Taasisi ya Tiba ya mifupa (MOI) wakipita mbele ya Mgeni Rasmi katika maadhimisho ya siku ya wafanyakazi duniani (Mei Mosi) Dar es Salaam  ambayo kitaifa yameadhimishwa mkoani Mwanza Mgeni rasmi akiwa ni Raisi Jakaya Kikwete.

Picha ya pamoja ya  wafanyakazi wa Wakala wa Ndege za Serikali baada ya kupita mbele ya Mgeni Rasmi katika Uwanja wa Taifa 
Baadhi ya wafanyakazi wa Wakala wa Ndege za Serikali wakiteta jambo baada ya kupita mbele ya Mgeni Rasmi katika Uwanja wa Taita Jijini Dae es Salaam
Wafanyakazi wa Azam Tv wakiwa wanaingia katika Uwanja wa Uhuru katiaka Maadhimisho ya Siku ya wafanyakazi Uwanja wa Uhuru Dar es Salaam
Wafanyakazi wa Azam Tv wakibada Gari wakati walipokuwa wakiingia Uwanja wa Uhuru katika Maadhimisho ya Siku ya Mei Mosi

Mmoja wa kiongozi wa Msafara wa  Wafanyakazi wa Taasisi ya Mifupa Moi,  walioshiriki Maadhimisho ya Siku ya Mei Mosi akiwa na Dereva wa Taasisi hiyo wakifurahia jambo wakati walipokua wakiingia katika uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam

Wafanyakazi wa Taasisi ya Tiba ya mifupa (MOI) wakiwa  katika Picha ya pamoja mara  walipo wasili kwenye Taasisi hiyo baada ya kwisha  maadhimisho ya siku ya wafanyakazi duniani (Mei Mosi) Dar es Salaam  ambayo kitaifa yaliadhimishwa mkoani Mwanza Mgeni rasmi akiwa ni Raisi Jakaya Kikwete.
Wafanyakazi wa Taasisi ya Mifupa Mio walipopita na Mgonjwa mbele ya Mgeni Rasmi katika Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Mei Mosi Uwanja wa Uhuru Dar es Salaam(PICHA NA KHAMISI MUSSA).

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages