Breaking News

Your Ad Spot

May 22, 2015

MWENYEKITI WA CCM RAIS JAKAYA KIKWETE AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU YA CCM LEO


 Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akiwa amewasili katika ukumbi wa Sekretarieti kuendesha Kikao Cha kamati Kuu ya CCM mjini Dodoma  leo. Kushto ni Makamu Mwenyekiti wa CCM, Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Shein na kulia ni Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akimkaribisha Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete kuendesha kikao hicho cha Kamati Kuu ya CCM mjini Dodoma. Kushoto ni Dk. Shein na kulia ni Makamu Mwenyekiti wa CCM, Bara, Philip Mangula
PICHA ZAIDI WAJUMBE WAKIWA UKUMBINI

















No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages