Rais wa Ukraine, Petro Poroshenko
Vladimir Putin
Rais wa
Ukraine Petro Poroshenko ameiambia BBC kuwa hamuamini kiongozi wa Urusi
Vladimir Putin katika harakati za kuleta Amani Mashariki mwa Ukraine.
Poroshenko anasema anahofia kwamba huenda kukawa na kutoku elewana kati ya mataifa hayo mawili.
Hata
hivyo ameielezea hali hiyo kuwa ni vita kamili kati ya nchi hizo.
Ameongeza kuwa awali katibu mkuu wa Marekani John Kerry alifanya
mazungumzo na kiongozi huyo kabla ya mazungumzo yao na Rais wa Urusi
Putin.CHANZO:BBC
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269