Breaking News

Your Ad Spot

May 25, 2015

RAIS KIKWETE AFUNGUA MKUTANO WA KWANZA WA SHIRIKISHO LA VYUO VYA ELIMU YA JUU, MJINI DODOMA

jk2
Mwenyekiti wa CCM Dk. Jakaya Mrisho Kikwete akinyanyua juu nakala za kanuni za Shirikisho la Wanafunzi wa Vyuo Vya Elimu ya Juu kuzizindua rasmi wakati wa Mkutano wa Kwanza wa Shirikisho hilo uliofanyika katika ukumbi wa Kilimani mjiini Dodoma leo. Kulia ni katibu mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana,watatu kulia ni Makamu Mweyekiti wa CCM Bara Ndugu Philip Mangula na kushoto ni mlezi wa shirikisho hilo ambaye pia ni Naibu Waziri wa Sayansi na Teknologia Ndugu January Makamba.
jk1
Rais Kikwete akisisitiza jambo wakati wa Mkutano wa kwanza wa Shirikisho la Wanafunzi wa Vyuo Vya Elimu ya Juu mjini Dodoma.
jk3
Rais Kikwete akisalimiana na baadahi ya wanafunzi baada ya kufungua mkutano(picha na Freddy Maro)

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages