Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akiingia ukumbini kuendesha Kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, mjini Dodoma leo. kulia ni Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana. ![]() |
| Wajumbe wakiwa wamesimamaukumbini kumlaki Kikwete alipoingia ukumbini kuendesha kikao hicho leo |
![]() |
| Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akishauriana jambo na Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana kabla ya kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM kuanza leo, mjini Dodoma Nkoromo) |






No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269