Breaking News

Your Ad Spot

Jun 23, 2015

BARAZA KUU LA WAISLAMU TANZANIA (BAKWATA) LAMTEUA SHEIK ABOUUBAKAR ZUBERI KUWA KAIMU MUFTI

 Sheikh Aboubakar Zuberi Mufti Mpya.
 Baadhi ya viongozi walipokuwa wakimsubiri Kaimu  Mufti katika Ofisi za Bakwata zilizopo Kinondoni Jijini Dar es Salaam


 Kaimu Mufti wa Tanzania, Sheikh Zuber (wa katikati) akizungumza waandishi wa habari   jijini Dar es Salaam mara baada ya kuchaguliwa kushika nafasi hiyo (PICHA NA KHAMISI MUSSA)

Baraza kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA)  limemteua Sheikh Aboubakar Zuberi kuwa Mufti Mpya wa muda.

Sheikh Zuber atashikilia nafasi hiyo kwa muda wa miezi mitatu (siku 90) kuelekea katika uchaguzi wa kumpata atakayerithi nafasi hiyo kwa mamlaka kamili.

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages