Breaking News

Your Ad Spot

Jun 21, 2015

KINANA AANZA KWA KISHINDO ZIARA YAKE MKOANI MWANZA, LEO

Katibu Mkuu wa CCM, Abdurahman Kinana akivishwa skafu na Kijana wa CCM, wakati wa mapokezi alipowasili katika Kijiji cha Nyamadoke, kuanza ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCm na Uhai wa Chama mkoani Mwanza leo, Kushoto ni Katibu wa CCM, mkoa wa Mwanza Miraji Mtaturu
 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akiingia rasmi katika jimbo la Buchosha, kuanza ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM, mkoani Mwanza leo. Kushoto ni Katibu wa CCM, mkoa wa Mwanza Miraji Mtaturu.
 Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akizungumza na Mbunge wa Sengerema, William Ngeleja, wakati wa mapokezi ya Katibu Mkuu wa CCM abdulrahman Kuingia mkoa wa Mwanza leo. Ngeleja pia ni mmoja wa makada wa CCM walichukua fomu kuomba kuteuliwa na CCM kuwania Urais katika uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba mwaka huu.
 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akisalimia baadhi ya viongozi wakati wa mapokezi hayo.Kushoto ni Mtaturu
 Mbunge wa Sengerema, William Ngeleja akisalimia wakati wa mapokezi ya Katibu Mkuu wa CCM abdulrahman Kinana, kuingia mkoa wa Mwanza leo. Kulia ni Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye.
 Katibu Mkuu wa CCM, Abdrulrahman Kinana akizungumza wakati wa mapokezi yake kuingia mkoa wa Mwanza, yaliyofanyika leo katika Kijiji cha  Nyamadoke.
 Mkuu wa mkoa wa Mwanza Magesa Mulongo akizungumza wakati wa Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM wilaya ya Sengerema,mkoani Mwanza, kilichofanyika katika jimbo hilo, leo, Kilia ni Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana na Katibu wa CCM mkoa wa Mwanza, Miraji Mtaturu na kushoto ni Katibu wa NEC, Itikadi na uenezi, Nape Nnauye.
 Kijana aliyeko kwenye msafara wa Kinana akiwa amepanda kilimani ili kupata vizuri network ya mtandao wa siku, akiwa katika shule ya msingi Bupendwa,
 Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana, akizungumza wakati wa Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM wilaya ya Sengerema,mkoani Mwanza, kilichofanyika katika jimbo hilo, leo,
  Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana, akizungumza wakati wa Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM wilaya ya Sengerema,mkoani Mwanza, kilichofanyika katika jimbo hilo, leo,




 Katibu Mkuu wa CCM akitokakukagua jengo la Utawala la la Hospitali ya Wilaya, katika Jimbo a Buchosha mkoani Mwanza leo
 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akihutubia wananchi katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika Kijiji cha Bupendwa, jimbo la Buchosa, mkoani Mwanza leo
 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akinunua ndizi kwa mkazi mmmoja wa kijiji cha Bupendwa, aliyekuwa akiuza ndidi hizo kwenye mkutano wake wa hadhara uliofanyika kwenye kijiji hicho, leo  katika jimbo la Buchosa, mkoani Mwanza. Kinana ambaye amefunga katika mwezi huu mtukufu wa Ramadhani,  aliwapa kula ndizi hizo wale ambao hawakufunga.
 Wananchi wakishangilia katika mkutano wahadhara uliofanyika katikaKijiji cha Bupendwa
 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akiwahutubia wanachi wa Kijiji cha Bupendwa mkoani Mwanza
 Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akizindua Ofisi ya CCM, tawi la Katwe jimbo la Buchosa mkoani Mwanza leo
 Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akipatiwa maelezo kuhusu chanzo cha maji cha mradi wa maji safi na salama cha Rumeya, jimbo la Buchosa, mkoani Mwanza leo
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana
 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akiwahutubia wananchi atika Kata ya Nyehunge, katika jimbo la Buchosa mkoani Mwanza leo
 Katibu Mkuu a CCM, Abdulrahman Kinana akizindua mradi wa maji katika kijiji cha Nyehunge jimbo la Buchosa mkoani Mwanza leo
Katibu Mkuu a CCM, Abdulrahman Kinana akizindua mradi wa maji katika kijiji cha Nyehunge jimbo la Buchosa mkoani Mwanza leo
 Katibu Mkuu a CCM, Abdulrahman Kinana akimtwisha ndoo ya maji Selima John, wakati akizindua mradi wa maji katika kijiji cha Nyehunge jimbo la Buchosa mkoani Mwanza leo
 Mkazi wa kijiji cha Nyehunge akiselebuka, kufuarhia maji baada ya Kaibu Mkuu wa CCM kuzindua mradi wa maji wa kijiji hicho




Katibu wa NEC, Itikadi na uenezi, Nape Nnauye akihutubia maelfu ya wananchi katika Mkutano wa hadhara wa Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana uliofanyika katika Kata ya Nyehunge katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM na Uhai wa Chama katika jimbo la Buchosa, mkoani Mwanza leo.
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akihutubia maelfu ya wananchi katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika Kata ya Nyehunge akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM na Uhai wa Chama katika jimbo la Buchosa, mkoani Mwanza leo.
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akihutubia maelfu ya wananchi katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika Kata ya Nyehunge akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM na Uhai wa Chama katika jimbo la Buchosa, mkoani Mwanza leo.
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akihutubia maelfu ya wananchi katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika Kata ya Nyehunge akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM na Uhai wa Chama katika jimbo la Buchosa, mkoani Mwanza leo. Picha zote na Bashir Nkoromo)

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages