Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana na Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye wakiongoza mazoezi ya Jogging, yaliyoandaliwa na Vijana mkoani Mwanza leo asubuhi, kwa lengo la kujenga mwili na kukuza mshikamano miongoni mwa vijana hao. Kinana na Nape wapo mkoani humo katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM na uhai wa Chama.
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana na Katibu wa NEC, Itikadi na
Uenezi, Nape Nnauye wakiongoza mazoezi ya Jogging, yaliyoandaliwa na
Vijana mkoani Mwanza leo asubuhi, kwa lengo la kujenga mwili na kukuza
mshikamano miongoni mwa vijana hao. Kinana na Nape wapo mkoani humo
katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM na uhai wa Chama.
Jogging ikiendelea
Pius Ntiga wa Uhuru FM ambaye yupo katika ziara ya Kinana mkoani Mwanza akitokwa kijasho chembamba wakati wa Jogging hiyo
Vijana wakifanya amsha amsha wakati wa Jogging hiyo
Mkuu wa Wilaya ya Nyamagana, Konisaga akiwa kwenye Jogging hiyo
Washiriki wa Jogging hiyo wakiwa katika ushiriki
Baadhi ya wananchi wakiwa wametoka kutazama Jogging hiyomtaani jijini Mwanza
Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akiwashukuru Vijana kwa kumshirikisha katika Jogging hiyo, ilipomalizika katika eneo la stendi ya Daladala baada ya kuanzia New Mwanza Hotel. Picha zote na Bashir Nkoromo-theNkoromo Blog
Your Ad Spot
Jun 27, 2015
Home
Unlabelled
KINANA, NAPE WASHIRIKI JOGGING YA VIJANA JIJINI MWANZA
KINANA, NAPE WASHIRIKI JOGGING YA VIJANA JIJINI MWANZA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269